Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Klabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni.

Taarifa zaidi zitakujia
 
Shida yenu mnaleta kocha ili aifunge Simba na yanga sijui tutafika lini
 
Azam aendelee tu kuuza ice cream zake,na Azam tv.
MPIRA awaachie Simba.
Azam Ana hela lakini wachezaji anaosajili ni vituko vitupu.
 
Wachezaji hebu wapewe videli vya ukwaju wakauze mtaani waone uchungu wa pesa
 
Lwandamina huyu ni bure kabisa, nilimponda sana wakati anaifundisha klabu ya Yanga kwa sababu anapenda sana mpira wa kujihami, hafai hata bure.
Let him go.
 
Klabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni.

Taarifa zaidi zitakujia
Kuna mahali wanakosea kama Club maana wana kila kitu
 
Back
Top Bottom