Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

Kinacho Watafuna Azam Ni Laaana, Huwezi kusimamisha Wachezaji 4 wakongweee kisa wanadai Masilahi yao halafu utegemee utabaki Salama Haipo Hiyo Duniani.

Kifupi Jasho La Mtu haliliwi Bure. Watawaonea Tuu Makocha, Lakini Hiyo Suluhisho. Wale wachezaji 4 walio onewa na kudhurumiwa wana marafiki kwenye kikosi ambao kwa namna moja au nyingine hawawezi kuwa kwenye the same Performance. Kuongoza Timu haihitaji kutumia Nguvu kama Unaongoza Mbuzi.

Wasipo Jiangali hata kombe la AZam Watatoka Mapema Sanaa.

Walipeni wachezaji wa watu, na warudisheni uwanjani.
 
Timu isiyo na presha ya nje ya uwanja

Wanacheza KWA kurilaksi. Nani anawapigia kelele?
 
Kinacho Watafuna Azam Ni Laaana, Huwezi kusimamisha Wachezaji 4 wakongweee kisa wanadai Masilahi yao halafu utegemee utabaki Salama Haipo Hiyo Duniani.

Kifupi Jasho La Mtu haliliwi Bure. Watawaonea Tuu Makocha, Lakini Hiyo Suluhisho. Wale wachezaji 4 walio onewa na kudhurumiwa wana marafiki kwenye kikosi ambao kwa namna moja au nyingine hawawezi kuwa kwenye the same Performance. Kuongoza Timu haihitaji kutumia Nguvu kama Unaongoza Mbuzi.

Wasipo Jiangali hata kombe la AZam Watatoka Mapema Sanaa.

Walipeni wachezaji wa watu, na warudisheni uwanjani.
Azam ni ya hovyo kabla hata ya hao wachezaji kuaimamiahwa
 
Namshangaa sana sana tajiri Bakhresa..mzee huyu kama angekua kweli na mapenzi ya dhati na timu hii ya mpira wa miguu, azam ingekua tishio sana tanzania kama si afrika na kuondoa mambo ya usimba na uyanga ...sidhani kama ana interest na mpira wa miguu...kwa utajiri wake ana uwezo wa kununua wachezaji wazuri yeyote tena huko afrika , na kuwalipa mishahara mikubwa, ana uwezo wa kutafuta kocha mkali mwenye cv ya kutisha barani afrika kuliko kwenda kukimbizana na akina lwanda nini sijui...azam haistahili kuwepo hapo ilipo...
 
Hawa Azam huenda wamerogwa na Simba na Yanga. Tulitegemea walete ushindani wa kutosha kwenye soka letu ili kupunguza kiburi cha Simba na Yanga, ona sasa yanayotokea.
 
Kinacho Watafuna Azam Ni Laaana, Huwezi kusimamisha Wachezaji 4 wakongweee kisa wanadai Masilahi yao halafu utegemee utabaki Salama Haipo Hiyo Duniani.

Kifupi Jasho La Mtu haliliwi Bure. Watawaonea Tuu Makocha, Lakini Hiyo Suluhisho. Wale wachezaji 4 walio onewa na kudhurumiwa wana marafiki kwenye kikosi ambao kwa namna moja au nyingine hawawezi kuwa kwenye the same Performance. Kuongoza Timu haihitaji kutumia Nguvu kama Unaongoza Mbuzi.

Wasipo Jiangali hata kombe la AZam Watatoka Mapema Sanaa.

Walipeni wachezaji wa watu, na warudisheni uwanjani.
Hakuna mchezaji anae dai pale Azam acha kuropoka vitu usivyo vijua, mbali na kusimamishwa wanalipwa mishahara yao na ni wachezaji watatu huyo wa nne ni nani wewe popoma
 
Wa 4 atakuwa ni yeye Mwenyewe
Hakuna mchezaji anae dai pale Azam acha kuropoka vitu usivyo vijua, mbali na kusimamishwa wanalipwa mishahara yao na ni wachezaji watatu huyo wa nne ni nani wewe popoma
 
Kwa ule mpira wa jumamosi wa simba na azam hata ingekua mimi ningetimua benchi lote, ila wangeanza na watu wa usajili, yani wachezaji uwanjani wanaruka ruuka tu utadhani wanacheza rede
 
Back
Top Bottom