Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Wanalipwa Kwanza gharama za kuvunja mkataba.Ukocha sio kazi yakudumu watapata tu pengine
Azam kuna sehemu wanakosea haiwezekani kila siku kufukazana tu.
Inategemea na makubaliano ya mkatabaWanalipwa Kwanza gharama za kuvunja mkataba.
Walianza vizuri, tabu ikaja pale walipoanza kuwaiga Simba na Yanga.Azam kuna sehemu wanakosea haiwezekani kila siku kufukazana tu.
Fafanua mkuu.Tatizo la Azam linaanza kwa wamiliki wa timu
Kuna mahali wanakosea kama Club maana wana kila kituKlabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni.
Taarifa zaidi zitakujia