Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika Tanzania Bara pamoja Zanzibar.
Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV,Meneja Habari na Mawasiliano wa Azam FC Thabit Zakaria amesema kutokana na uwepo wa ratiba ngumu inayowakabili kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2024-25 watashindwa kujiandaa kikamilifu kuelekea shindano la msimu huu.