BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
TAARIFA
Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024.
Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.
Tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka na maisha kwa ujumla.
Imetolewa na Menejiment,
Azam Football Club,
Juni 28, 2024.
====
Pia Soma:
- Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?
- Azam yathibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili vikimuhitaji Dube, Simba SC ikiwemo