Hapa ndio na mm naona kipengele!Mchezaji wa kila baada ya match mbili anaumia
Ila Azam nahisi kuna shida aidha kwa mazoezi, Mazingira au Daktari wao wa Viungo.Mchezaji wa kila baada ya match mbili anaumia
Hizo mechi chache anakupa matokeo, sio uko na Mzize kuanzia Januari moja hadi nyingine kazi kubwa ni kukosa magoli.Mchezaji wa kila baada ya match mbili anaumia