mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Azam FC imeifunga Rhino Rangers goli 1-0 nakufikisha point 33 huku Yanga akiwa na pointi 32 na Mbeya City 31 huku Simba akibaki nafasi yake ya 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiti alichokalia kina wenyewe
azam fc imeifunga rhino rangers goli 1-0 nakufikisha point 33 huku yanga akiwa na pointi 32 na mbeya city 31 huku Simba akibaki nafasi yake ya 4.
.......Kweli maskini akipata ------ hulia bwataa!!!..aliyesema hivyo hakukosea hata kidogo, yaan mmeachiwa mmeanza kuchoka mapema hivyo? Just a different of one point tena mechi ya pili katika round ya pili...Angalia mkuu utachekwa hata na nyau za mitaan

Mwenyewe sindio Azam? Au unawazungumzia akina nani?kiti alichokalia kina wenyewe
Tena mwaka huu tunavunja ile rekodi iliyo wekwa na mikia fc. Tunabeba ubingwa bila kupoteza hata mchezo mmoja.azam fc imeifunga rhino rangers goli 1-0 nakufikisha point 33 huku yanga akiwa na pointi 32 na mbeya city 31 huku Simba akibaki nafasi yake ya 4.
Kwahiyo kwa akili yako unaimani utatuvuta shati? Unajiongopea........Kweli maskini akipata ------ hulia bwataa!!!..aliyesema hivyo hakukosea hata kidogo, yaan mmeachiwa mmeanza kuchoka mapema hivyo? Just a different of one point tena mechi ya pili katika round ya pili...Angalia mkuu utachekwa hata na nyau za mitaan
teh teh teh naangalia tu..Yaani utofauti wa point moja tu ndio kelele zote hizo...ndio kwanza mechi ya pili duru la pili
Yaani utofauti wa point moja tu ndio kelele zote hizo...ndio kwanza mechi ya pili duru la pili
haya maneno ungeyaongea kipindi wazee wa Uturuki wakiwa kileleni ningekuona wa maana.
Mnyama anakula timing ya kukamata usukani kimyakimya.
Yaani utofauti wa point moja tu ndio kelele zote hizo...ndio kwanza mechi ya pili duru la pili
haya maneno ungeyaongea kipindi wazee wa Uturuki wakiwa kileleni ningekuona wa maana.
Mwenyewe sindio Azam? Au unawazungumzia akina nani?
wenyewe wakina nani.? Mwaka huu hakuna kubebwa matokeo tafuta uwanjani.