Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara hasbuh, jioni.............................................Yaani utofauti wa point moja tu ndio kelele zote hizo...ndio kwanza mechi ya pili duru la pili
hawaamini kama j2 wanaiacha hata hiyo nafasi ya pili.Biashara hasbuh, jioni.............................................
Hakikakiti alichokalia kina wenyewe
Eti?Azam FC imeifunga Rhino Rangers goli 1-0 nakufikisha point 33 huku Yanga akiwa na pointi 32 na Mbeya City 31 huku Simba akibaki nafasi yake ya 4.