Mtoto mzuri hivyo unashangilia hilo litimu ligumu vitu laini kama lambalamba hauvioni?Cna hamu. ..simba yngu Leo mweeh
Emb mimina hiyo kitu nikaze kooJamani eeeeeh?Simba wataniona mchawi sasa.
Niliwaambia hamchomoki kwa wazee wa lambalamba...
Heheeeeee
Ni mwendo wa [emoji485]
Asante Himid,asante Azam.
Unanizidishia maumivu ujue......nipe moyo japo kidogo....unakua kama anko..kauli ngumu tu[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Mtoto mzuri hivyo unashangilia hilo litimu ligumu vitu laini kama lambalamba hauvioni?
Wewe shabiki wa ndandaSimba wajinga sana wanafungwa na watu hawana kocha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikosa hata hili lao la mchangani basi tena.Hata kombe la mapinduzi linawashinda ninyi mikia fc, maana hivi ndiyo vikombe vyenu mapinduzi, mtani jembe na vingine vya mchangani
Karibuuuuuuuu cheeeeersssEmb mimina hiyo kitu nikaze koo