Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Nilisema hawa paka wa kuchora lazima warudi bongo mikono mitupu......

na ninaendelea kusema tena kuwa msimu huu ni lazima watoke mikono mitupu mpaka kwenye Ligi.
 
Nina raha, nina furaha, nina amani moyoni. Halafu ni weekend imeanza. Hatari kabisa, mji uko kimyaaa. Tunawashukuru Azam, kazi mmeifanya inavyotakiwa...
Tumewachia wabebe wadogo zetu Azam
 
Back
Top Bottom