Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu zangu za kwanza nazituma kwa mahabuba nyongo mkalia ini,moyo & roho yangu The boldBasi Yanga mmefurahiiiii mnajiona kama Azam B
Haya tumeni salamu kwa watu watatu.
Najua dada (shemeji)roho yako kwatu umepoza machungu hata mimi burdaaaaanDaaaah kipi kinauma zaidi?Kupoteza kwenye fainali au nusu fainali?
Hahahahahaaaaa
Yanga mmeanza kushabikia Azam lini?
Tunatuma salamu kwa kocha wa mikia, wachezaji wa mikia na mashabiki wote wa mikia. Ujumbe kutangulia si kufika. Wimbo tunawachagulia wa Darasa, Muziki...Basi Yanga mmefurahiiiii mnajiona kama Azam B
Haya tumeni salamu kwa watu watatu.
Tukutane VPLSalamu zangu za kwanza nazituma kwa mahabuba nyongo mkalia ini,moyo & roho yangu The bold
Salamu za pili kwa mashabiki wenzangu wote wa Yanga nawapenda sana
Salaam zangu za tatu kwa mashabiki wa Simba nawaambia Jamani eeeeeh mbio za sakafuni huishia ukingoni.
Wacha tuchelewe tu kulala hawa mabingwa wa kihistoria wangechukua ingekuwa kelele .Nipo hapa. Usiku mzuri sana wa leo
The enemy of ur enemy is ur friend!Yanga mmeanza kushabikia Azam lini?
Azam ni tawi letu, tumewapa wabebe na waoJamani mashabiki wa Yanga mko wapi tushangilie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guasa Amboni nasmapesa mgaagaa na upwa Makoye Matale Bantu lady Matola na woteeeeeee
Cheeeeeerrrrssss [emoji485]
Weekend imeanza vizuriiiiii [emoji39] [emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo hapa. Usiku mzuri sana wa leo
Duh ! biology hiyo tena !Basi utawasikia bora sisi hatujafungwa nyingi..ukweli ni kwamba bao ni bao tu na bao moja ndio husababisha mimba mengi ni mbwembwe tuuu