Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Sasa vyura kwakua mlipigwa 4G mnaomba nasisi tupigwe.Mechi itakwenda hadi dakika 86 simba ikiwa mbele 2kwa yai.Ila Azam watapata kamoja kakuchombeza.
 
Nitakuwa full charge kuwapa Moira mkubwa wa Simba,ingawa saa 3 kuna Dada mmoja tulipinga kuhusu mechi ya Yanga,ikawa nikishinda ijumaa ntamla.sasa mda wa kumla ni saa 3
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama kawa!!
 

Attachments

  • Zoo-animals-get-iced-fruit-to-beat-the-heat.jpg
    Zoo-animals-get-iced-fruit-to-beat-the-heat.jpg
    83.8 KB · Views: 55
Back
Top Bottom