4bukungu....... MKONO MTUPU, HAULAMBWI.
kaa mbali wewe timu yebo fcKama huhitaji mjadala, humu sio mahali pake!
Ni kweli alikuwa bingwa mechi take na Yanga Afilika,aliibingwa Yanga 4GAzam bingwa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nitakuwa full charge kuwapa Moira mkubwa wa Simba,ingawa saa 3 kuna Dada mmoja tulipinga kuhusu mechi ya Yanga,ikawa nikishinda ijumaa ntamla.sasa mda wa kumla ni saa 3
Simba ninavyoichukia........natamani ata ishuke daraja ipotee kwenye ramani ya dunia...
Mkuu kwa Leo achana naye atatutia gundu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitakuwa full charge kuwapa Moira mkubwa wa Simba,ingawa saa 3 kuna Dada mmoja tulipinga kuhusu mechi ya Yanga,ikawa nikishinda ijumaa ntamla.sasa mda wa kumla ni saa 3