Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Sawa mkuu,nakuhakikishia kesho boss wako ataamka kichwa kinamgonga hadi akosee hesabu za juice na ngano.usiukimbie uzi wako tafadhali.
 
Simba ninavyoichukia........natamani ata ishuke daraja ipotee kwenye ramani ya dunia...
Kwani yenyewe inakupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu, na leo tunachukua kombe
 
Huu uwanja mbona umechorwa kila mahali utafikiri Zebra cross
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…