notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 425
- 484
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku inataka kuharibika sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku inataka kuharibika sasa
Ajitengaye na wenzake hutaka matakwa yake mwenyeweSimba anashinda na siitaji mjadala na mtu yoyote na sitaki kukosolewa
kwa mpira ninavyo uona simba wasipotulia na kufanya mabadiliko watanyweshewa Mvua nyingi na wazee wa lamba lamba.Game ishaisha hiyo , simba anachukua kombe!
Half time,Azam moja simba buyuuNgap ngap wakuu niko Congo Uku
BETRI LIMEJAA ASILIMIA 1% ....DAKIKA 45 ZIMEPITA.Nitakuwa full charge kuwapa Moira mkubwa wa Simba,ingawa saa 3 kuna Dada mmoja tulipinga kuhusu mechi ya Yanga,ikawa nikishinda ijumaa ntamla.sasa mda wa kumla ni saa 3
SIMBA WA KUCHORA AMELALA DOROOOOOOOOO........HAHAHAHAHAzam piga hao SIMBA wa kuchorwa.
Sio vizuri ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka matokeo ya yanga kufungwa na SIMBA goli 4 kwa 2 ndani ya DK 90Yanga AFILIKA sijui watakuwa upande upi, kote mmepigwa 4G
Asante mkuu hatar sanaaHalf time,Azam moja simba buyuu
Azam wamekuja kusawazisha zile penati mlizowafunga Yanga[emoji23][emoji23]Sio vizuri ujue