Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

Jamani eeeeeh?Simba wataniona mchawi sasa.
Niliwaambia hamchomoki kwa wazee wa lambalamba...
Heheeeeee
Ni mwendo wa [emoji485]
Asante Himid,asante Azam.
 
Jamani eeeeeh?Simba wataniona mchawi sasa.
Niliwaambia hamchomoki kwa wazee wa lambalamba...
Heheeeeee
Ni mwendo wa [emoji485]
Asante Himid,asante Azam.
Mshatuchawia nyie ndala hamna wema kabisa
 
Umepigwa goli 8 huna hamu kabisa na imekuwa sugu sijui ashki zinatoka wapi
Mla, mla leo. Mla jana kala nini? Tulia dawa yenu iingie vizuri, hao ndio Azam, by the way dakika ngapi zimebaki? Maumivu ya kichwa huanza polepole hahahahaaaa
 
Si bora sisi tumefungwa moja kuliko nyie 4, halafu imefungwa brazil itakua sìmba msitupigie kelele
 
Back
Top Bottom