Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26).

Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu.

Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?



1751796733427.png

1751796962874.png

1751796908744.png
 
Picha?
Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26).

Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu.

Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
 
Kwenye kits tu Azam nawakubali.

Fanbase tu ndio kitu wanakosa.
 
Hongera kwao ila huwa wanatoa jezi zote zinazofanana kasoro rangi tuu sijui kwa nini.
 
Nimezowea kuona jezi za azam fc zinafanana na bidhaa fulani kutoka bakhressa group mfano ni jezi ya msimu wa 2021/22 inafanana na kiloba cha HBF 2023/24 inafanana na kiloba cha azam bagamoyo sugar, 2024/25 inafanana na African frutti. Sijajua hii mpya inafanana na bidhaa gani
 
Hivi official colours za azam ni gani.?

Maana kila mwaka ni maluweluwe.!
 
Back
Top Bottom