Azam FC yazindua rasmi Jezi mpya ya msimu wa 2022/2023

Hio MAX ingekaa kwenye bega moja afu wakamweka hata mdhamini ingekaa poa zaidi
 
Habari ya uzuzri wa jezi Kila mtu anakubali Chama lake na kuponda ya mwenzake.. Obviously ni wivu tu.. naona Makolo wamekaza fuvu kuponda jezi ya Yanga... Hata dukani Kila mtu anapenda akipendacho kama Makolo wanavyopenda Mikia huko nyuma
Uzi unahusu Azam, sasa madekio ya Salamander tower yanakujaje hapa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jezi kali sana sio wale wengine kufua mara moja malalamiko kwa vunja bei.
 
Ya blue ndio imetisha zaidi
Naomba unisaidie Scars maana Kati ya mashabiki wa hizi timu za Kariakoo nakuona wewe na Shadeeya ni mashabiki wa soka na siyo washangiliaji.
Hivi uzuri wa jezi kama huo mnaoshabikia Sasa unaweza kusababisha mashabiki wa Simba waache jezi za timu yao Wekundu wa Msimbazi na kununua jezi za Azam Wanalambalamba?
 
Hakuna kitu kama hicho, hata itokee jezi ya Azam ikauzwa 15k hakuna shabiki wa simba/Yanga atanunua

Ila in case of credit lazima tukubali kuwa jezi hizi ni bora kimuonekano kuliko zile Atlas
 
Nghafla nimepata mahaba na mashamsham ya kununua jezi za Coastal za msimu huu,wapi natapata huo unyama wao mpya?
 
Labda kama kuna Scars zaidi ya mmoja kama jina linavyosomeka.
 
Linapokuja suala la jezi aisee binafsi azam fc huwa nawakubali sana sema ndo hivyo hawana fanbase km ilivyo sisi
 
Habari ya uzuzri wa jezi Kila mtu anakubali Chama lake na kuponda ya mwenzake.. Obviously ni wivu tu.. naona Makolo wamekaza fuvu kuponda jezi ya Yanga... Hata dukani Kila mtu anapenda akipendacho kama Makolo wanavyopenda Mikia huko nyuma
Ila jezi yenu utopolo Ina makolokolo mengi Sana. Sasa utopolo ndio makolo.
 
Samahani, hiyo third kit uliyoandika kuwa ni Nyeusi, mbona haionekani kuwa Nyeusi!? Naona ni kijivu fulani hiivi.
Hii taarifa kutoka Azam TV wakati wa matangazo mkuu, japo kwa mbali ni kama kijivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…