Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Hio MAX ingekaa kwenye bega moja afu wakamweka hata mdhamini ingekaa poa zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi unahusu Azam, sasa madekio ya Salamander tower yanakujaje hapa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari ya uzuzri wa jezi Kila mtu anakubali Chama lake na kuponda ya mwenzake.. Obviously ni wivu tu.. naona Makolo wamekaza fuvu kuponda jezi ya Yanga... Hata dukani Kila mtu anapenda akipendacho kama Makolo wanavyopenda Mikia huko nyuma
Naomba unisaidie Scars maana Kati ya mashabiki wa hizi timu za Kariakoo nakuona wewe na Shadeeya ni mashabiki wa soka na siyo washangiliaji.Ya blue ndio imetisha zaidi
Hakuna kitu kama hicho, hata itokee jezi ya Azam ikauzwa 15k hakuna shabiki wa simba/Yanga atanunuaNaomba unisaidie Scars maana Kati ya mashabiki wa hizi timu za Kariakoo nakuona wewe na Shadeeya ni mashabiki wa soka na siyo washangiliaji.
Hivi uzuri wa jezi kama huo mnaoshabikia Sasa unaweza kusababisha mashabiki wa Simba waache jezi za timu yao Wekundu wa Msimbazi na kununua jezi za Azam Wanalambalamba?
Labda kama kuna Scars zaidi ya mmoja kama jina linavyosomeka.Naomba unisaidie Scars maana Kati ya mashabiki wa hizi timu za Kariakoo nakuona wewe na Shadeeya ni mashabiki wa soka na siyo washangiliaji.
Hivi uzuri wa jezi kama huo mnaoshabikia Sasa unaweza kusababisha mashabiki wa Simba waache jezi za timu yao Wekundu wa Msimbazi na kununua jezi za Azam Wanalambalamba?
Daah! Ofa imenipita hiiKuanzia leo mpaka kesho kwa wateja mwanzo wana ofa kwa bei ya shilingi 15000 tu
Samahani, hiyo third kit uliyoandika kuwa ni Nyeusi, mbona haionekani kuwa Nyeusi!? Naona ni kijivu fulani hiivi.Klabu ya Azam FC leo Julai 29, 2022 imezindua rasmi Jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano wa 2022/2023.
Nyeupe (Home Kit)
Blue (Away Kit)
Nyeusi (Third Kit)
View attachment 2308059View attachment 2308060View attachment 2308061
Ila jezi yenu utopolo Ina makolokolo mengi Sana. Sasa utopolo ndio makolo.Habari ya uzuzri wa jezi Kila mtu anakubali Chama lake na kuponda ya mwenzake.. Obviously ni wivu tu.. naona Makolo wamekaza fuvu kuponda jezi ya Yanga... Hata dukani Kila mtu anapenda akipendacho kama Makolo wanavyopenda Mikia huko nyuma
Yanga hatujawahi haribu kwenye Jezi kama Ile nyeusi ya msimu huu ni BabalaoIla jezi yenu utopolo Ina makolokolo mengi Sana. Sasa utopolo ndio makolo.
Ile jezi yenye vibanda vya bondeni pale jangwani, sio jezi yenu!?Yanga hatujawahi haribu kwenye Jezi kama Ile nyeusi ya msimu huu ni Babalao