Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Stay tune nakuletea taarifa za kombe LA shirikisho kati ya Simba sc vs Azam fc
Uwanja: Dar es salaam
Muda: 10:00
Climate: Wingu na manyunyu ya mvua
Azam TV watarusha Live

Mechi za ligi walio kutana
28 Jan 17
FT
Simba SC
Azam FC
0
1
17 Sep 16
FT
Azam FC
Simba SC
0
1
01 May 16
FT
Simba SC
Azam FC
0
0

12 Dec 15
FT
Azam FC
Simba SC
2
 
Azamu piga hao mikia fc 2 bila.!
 
Azam japo wapo pungufu lakini wanatandaza kandanda safi sana [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Simba wamekosa goli la wazi kabisa,wakifungwa wataijutia sana nafasi hii.
 
naona refa anaweka mchango wake upande wa simba
 
hah hah hah basi kazi ipooo..liwake jua inyeshe mvua mnyama lazima ashinde leo! Kesho kazi mnayo!
Thubutuuuuu. Mbao tunazipasua mapemaaaaa.
Unafikiri ni nyie mliohenyeshwa hadi mkahonga?
 
Back
Top Bottom