Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Ilikuwaje mkuu! Je kadi imetoka kwenye mazingira yasiyoeleweka, tujuze tafadhali
Kadi ni ya halali, jamaa alivyoingia hakuonyesha nia ya kuutaka mpira ila kumhamisha mtu.

Na dka 15 za mwanzo kabla ya kadi Azam walikuwa wamezidiwa na dk ya nne tu wakapewa ya njano...

Mpaka sasa Simba wamemiliki game kwa kiasi kikubwa...
 
Sure Boy ataikost sana Azam [emoji17]
Mvua si izidi kunyesha pambano livunjwe?
 
Namna gani paleeeeee? Damn! Azam wamekosa bao la wazi kabisa.
 
Haha hah unanichekesha sana mkuu, tangu lini mtoto akalala na viatu? Simba alistahili ushindi siku ile na kama kuna ushahidi wa rushwa au kuhongwa upeleke TFF
Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
 
Mpira umechangamka sasa. Pongezi kwa golikipa wa Azam Haesh Manula,kazi nzuri.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
Kunya anye kuku..akinya bata kaharisha hah hah Itabaki historia tu!
 
Dakika ya 40, bila bila......
Simba kadi 2 za njano
Azam kadi 1 Nyekundu na njano 1.
 
Azam inaonekane Mvua umewaathiri sana, maana kasi ya Simba imewaacha mbali .

Dak ya 45...Bado bila bila..... tatu za nyongeza.
 
Back
Top Bottom