Refa analipa fadhila,sio bure.naona refa anaweka mchango wake upande wa simba
Kadi ni ya halali, jamaa alivyoingia hakuonyesha nia ya kuutaka mpira ila kumhamisha mtu.Ilikuwaje mkuu! Je kadi imetoka kwenye mazingira yasiyoeleweka, tujuze tafadhali
Haha hah unanichekesha sana mkuu, tangu lini mtoto akalala na viatu? Simba alistahili ushindi siku ile na kama kuna ushahidi wa rushwa au kuhongwa upeleke TFFThubutuuuuu. Mbao tunazipasua mapemaaaaa.
Unafikiri ni nyie mliohenyeshwa hadi mkahonga?
Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.Haha hah unanichekesha sana mkuu, tangu lini mtoto akalala na viatu? Simba alistahili ushindi siku ile na kama kuna ushahidi wa rushwa au kuhongwa upeleke TFF
Ilikuwa hatari sana ileMpira umechangamka sasa. Pongezi kwa golikipa wa Azam Haesh Manula,kazi nzuri.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kunya anye kuku..akinya bata kaharisha hah hah Itabaki historia tu!Mimi sio mwenzio wa malalamiko FC,mezani FC mkuu.
Malalamiko kwetu mwiko,mpira unadunda na ushindi tunaupata uwanjani sio mezani [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muamala fc washamalizana na huyu refa nje ya uwanja,hapa wanatuzuga tu
Tupo wengiSimba imepoteza mvuto kabisa.
Mechi kubwa kama hii tupo watu watatu tu hapa?
Poleni sana mashabiki wa Simba,naona mmevunjika moyo kabisa.
Umetumwa na vyura sposi kilabu au?Simba imepoteza mvuto kabisa.
Mechi kubwa kama hii tupo watu watatu tu hapa?
Poleni sana mashabiki wa Simba,naona mmevunjika moyo kabisa.