Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar
Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote
Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance
Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao
Mpaka baadae wazuiliwe wakiwa Zanzibar
Kwanini msiwaambie ukweli wanahitaji hiki na kile
Wakata tiketi wa Azam ni wahuni sijawahi kuona na muwaogope kama ukoma
Hata ukienda kwenye airline wanakwambia uwe na hiki na kile ukikamilishaa unapewa tiketi
Lakini hawa wahuni wanapokea hela za rtn tkt kwenda na kurudi watu wanne halafu mnajua wanarudia Zanzibar bandarini
Huu ni ushenzi na unyanyasajii wa kipuùzi
Najuta kuwapeleka wateja hawa kwenu pambafu