- Thread starter
- #21
Ya kweli haya?Amin nakwambieni, hii Azam ikibadili jina iwe Simba au Yanga ni bingwa tena kwa unbeaten
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kweli haya?Amin nakwambieni, hii Azam ikibadili jina iwe Simba au Yanga ni bingwa tena kwa unbeaten
Popat amegoma kbsa kujiuzuluNeno kujiuzulu lilishaacha kutumika Tanzania toka miaka ya 1980 huko. Sikuhizi mtu anafanya upumbavu , hajiuzulu na hakuna kitu anafanywa.
Hapo ndo ulipoishia mkuu.
galasa la kwanza ni faiza toto. nilifurahi kwelikweli walivyotolewa juzi, ili feizatoto aangalie tu kwenye luninga namna Yanga wanavyochanja mbuga. na sababu kubwa ni kudeka kwa wazanzibar kiasi kwamba mzanzibar mmoja akikutwa na jambo wazanzibar wooote wanaungana hadi rais wao, tofauti na walivyo watanganyika. kuna mamalamiko mengi tu hadi huku polisi kwamba mzanzibar mmoja akikamatwa hata kama ana kosa simu zinapigwa hadi toka kwa mawaziri wa kizanzibar kutoa maelekezo, ila watanganyika ndio hawana mtetezi.Watu wengi wamekuwa wakiwashutumu viongozi wa azam na benchi la ufundi kutokana na matokeo mabovu
Lakini tukae tukijua tatizo la azam sio viongozi wala benchi la ufundi. Tatizo kuu la azam ni WACHEZAJI! Wasiojitambua wameletewa makocha wengi mno lakini matokeo yamekuwa yaleyale
Sasa ni wakati wa kuanza kufukuza wachezaji mizigo wasiotambua wajibu wakianza na yahya zaidi ambae yupo azam almost miaka 8 lakini amekuwa yule yule wa siku zote hana maajabu yoyote
Wengine ni
Idris mbombo: hyu jamaa naona amekuja azam kula pensheni naona hadi kitambi kinamtoka ila uwanjani ni sifuri
Mabeki wote wa kulia na kushoto fukuza wote hawana jipya wanacheza mpira wa kizamani hawajui chochote kuhusu ku over lap wanacheza kizamani mno
Kipre junior hyu nae ana mambo mengi uwanjani kiasi kwamba anasahau kazi yake ya msingi uwanjani ni ipi hyu nae awekwe chini ya uangilizi akiahindwa kubadilika afukuzwe tu
Feisal salum amenenepa mno kiasi kwamba majukumu yake ya msingi yanamshinda. Kocha kajaribu hadi kumuhamisha namba lakini wapi!
Jibril silah hyu jamaa ni garasa la mwaka hawezi chochote kukaba hawez,i kupiga chenga hawezi, mzito sana kwa kifupi jamaa ni garasa hyu anapaswa kuwa wa kwanza kuonyeshwa mlango wa kutokea.
Kipa ahmad huyu nae ni mzigo atimuliwe idris aendelee kupewa muda km atabadilika na kuacha kufanya makosa ya kizembe
Dogo foba aonyeshwe mlango wa kutokea coz ni mzigo miaka sita yupo azam anapewa kila kitu ikiwemo proper training lakini amebaki yule yule wa siku zote hana maajabu
HITIMISHO: Azam bila kufanya maamuzi magumu siku zote itabaki kuwa msindikizaji kwenye michuano yoyote inayoshiriki
Kiongozi ndio anayecheza kupitia wachezaji. Kama mchezaji uwezo wake ni mdogo na kaletwa na viongozi hiyo inasadifu uwezo wa uongozi kwenye kuleta Watu wazuri.Jamani! Kwani viongozi ndio wanaocheza mpira?
Kwa io unataka kuniambia viongozi ndio wanaowaambia wachezaji wajifungishe makusudi?
Tukubali tukatae tatizo la azam ni wachezaji wasiojitambua hawajui thamani yao wawapo uwanjani.