Azam fukuzeni magarasa wote kama mnataka kufanikiwa

Neno kujiuzulu lilishaacha kutumika Tanzania toka miaka ya 1980 huko. Sikuhizi mtu anafanya upumbavu , hajiuzulu na hakuna kitu anafanywa.
Popat amegoma kbsa kujiuzulu
 
galasa la kwanza ni faiza toto. nilifurahi kwelikweli walivyotolewa juzi, ili feizatoto aangalie tu kwenye luninga namna Yanga wanavyochanja mbuga. na sababu kubwa ni kudeka kwa wazanzibar kiasi kwamba mzanzibar mmoja akikutwa na jambo wazanzibar wooote wanaungana hadi rais wao, tofauti na walivyo watanganyika. kuna mamalamiko mengi tu hadi huku polisi kwamba mzanzibar mmoja akikamatwa hata kama ana kosa simu zinapigwa hadi toka kwa mawaziri wa kizanzibar kutoa maelekezo, ila watanganyika ndio hawana mtetezi.
 
Jamani! Kwani viongozi ndio wanaocheza mpira?

Kwa io unataka kuniambia viongozi ndio wanaowaambia wachezaji wajifungishe makusudi?

Tukubali tukatae tatizo la azam ni wachezaji wasiojitambua hawajui thamani yao wawapo uwanjani.
Kiongozi ndio anayecheza kupitia wachezaji. Kama mchezaji uwezo wake ni mdogo na kaletwa na viongozi hiyo inasadifu uwezo wa uongozi kwenye kuleta Watu wazuri.

Kila masks usajili wachezaji wabovu wacheze halafu useme huchezi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…