Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Aongeze mishahara
EFM nayo imevuna ITV kina Abubakary Lyongo na mwenzake na sasa wanataka kuhamia Clouds Fm wanamtaka Millard Ayo, wao wanatoa mshahara mnono nyumba na gari.
hapo kwa red ndo station gani hiyo mkuu, first time naisikia, hebu nielemishe kidogo
Mkuu tatizo la Ruta haraki kuamini kwamba vyombo vya habari vya IPP ni sawa na soccer academy tu wanatrain watu kisha wanasepa...imagine akina Flora Nducha mkuu wa Idhaa ya Kiswahili UN Charles Hilary kikeke Abdul Mohd sudy mnete nk..sasa wameondika vijana wa nyakati hizi akina Allan Adrian Sebastian Patrick nk anaanza kulialia
EFM nayo imevuna ITV kina Abubakary Lyongo na mwenzake na sasa wanataka kuhamia Clouds Fm wanamtaka Millard Ayo, wao wanatoa mshahara mnono nyumba na gari.
Kumchomoa mtangazaji pale Mawingi sio rahisi kama unavyofikiria. Tena redio yenyewe isiyovuka nje ya dar??? Hahahaha sijui habari nyingine mnazitoleaga wapi? Au mnazitoa kwenye vijiwe vya kahawa???
ufoo je kabaki?
Mkuu subiri utakuja kusikia hii radio inavuna watangazaji kama imewaweka yenyewe ipi ina masafa marefu kati ya ITV na clouds fm? Vdj Penny nae amehamia EFM.
Ipp media ndio wa kwanza kuanzisha radio binafsi na tv hapa tz kama sikosei na wengine wamefuata ukitazama karibu 90% ya watangazaji waliokuja kuchukuliwa na media zilizofuata walitoka ipp wakaja wengine na wengine na bado mpaka leo bado wanaongia wengine na kuondoka pale ipp ni kama shule wanaingia wakiiva wanasepa wala haitetereki
Kumchomoa mtangazaji pale Mawingi sio rahisi kama unavyofikiria. Tena redio yenyewe isiyovuka nje ya dar??? Hahahaha sijui habari nyingine mnazitoleaga wapi? Au mnazitoa kwenye vijiwe vya kahawa???
Inawezekana sana mkuu.... Gadner alikua mawingu akatimkia times... baada ya mkataba wake kuisha alikiri kupata ofa ya mawingu na efm ila akachagua efm....
Mkubwa unataka kuniambia Rehema ameondoka kitambo ITV? Mie ninayo Records yake akisoma habari hapa na pale ITV kama ya wiki mbili hivi na ndio maana siku hizi anasoma Farhia medree,aliyeondoka kitambo ni Adrian Stepp tu lakin wengine ni wapya.
Inawezekana sana mkuu.... Gadner alikua mawingu akatimkia times... baada ya mkataba wake kuisha alikiri kupata ofa ya mawingu na efm ila akachagua efm....
Inawezekana sana mkuu.... Gadner alikua mawingu akatimkia times... baada ya mkataba wake kuisha alikiri kupata ofa ya mawingu na efm ila akachagua efm....
Hizo ni drama za kwenye Mkasi ya EATV alivyokua akijinasibu lakini wala hawajamuita na waliamua kumpotezea baada ya kuona keshavurugana na mkewe.
Kipindi walichomuomba arudi mjengoni ni kipindi kile alivyotoka rikizo ya muda mrefu na akatangaza kurudi mzigoni kwa sharti la kubadilishiwa kipindi. Alitaka wammpe kipindi kingine tofauti na Jahazi ndo Mabosi wake wakawa wamekataa na Times Fm ndo ikawa imekuja na ofa nzuri akaamua atimke na kumbuka kipindi hicho ka bifu ka jide na mawingu ndo kalikua kamepamba moto japo kwenye media hakakua na umaarufu.
Wala si kweli ..Gardner hazoivi na Joe kitambo sana kabla mzee kusaga hajavuta..kumbuka enzi kitega uchumi na Gardner kuja na landcruiser Prado ya silver remember ..mzee kusaga ndio aliamua mrudisha jamaa mikoxhen toka kitega
Kwani mzee kusaga kafariki lini? Na gadner kaacha kazi lini pale?
Tuanzie hapo.