Azam Group wawanyang'anya IPP wafanyakazi wa kumwaga

Azam Group wawanyang'anya IPP wafanyakazi wa kumwaga

EFM nayo imevuna ITV kina Abubakary Lyongo na mwenzake na sasa wanataka kuhamia Clouds Fm wanamtaka Millard Ayo, wao wanatoa mshahara mnono nyumba na gari.

hapo kwa red ndo station gani hiyo mkuu, first time naisikia, hebu nielemishe kidogo
 
hapo kwa red ndo station gani hiyo mkuu, first time naisikia, hebu nielemishe kidogo

Ni redio mpya hapa Darisalam.
Inavuna watangazaji kama ilipanda yenyewe.
Ilimvuna yule mtangazaji mahiri wa michezo miaka nenda rudi ambaye anasemekana anamiliki wake wanne, huyu si mwingine, bali ni Maulid Kitenge aliyekuwa akilala na kuamkia IT/VRadio One, lakini na mwenzake Omary Katanga hawakumwacha mbali.
Pia yupo Gadner G. Habash (mtalaka wa lady GaGa, sorry, Lady Jay Dee) ambaye alikuwa akipitisha sauti yake kupitia 100.five kwenye kipidi cha Maskani, sasa ana kipindi cha Ubaoni Hapo EFM.
Lakini pia yupo Sam Kiama wa Bonanza kubwa la Radio Free Africa ingawa sio rahisi kumsikia coz inawezekana yupo kitengo kingine hapo EFM.
Kuna presenter mwingine maarufu sana bongo huwa anatangaza mchana ila jina limenitoka, lakini wapo akina Sebo nk.
Kwa sasa habari ya hapa mjini kuhusu redio ni EFM tu na craaaaauss FM kwa mbaaaaaaliiii.
Natumai umeelewa kwa uzuri sana.
 
Mkuu tatizo la Ruta haraki kuamini kwamba vyombo vya habari vya IPP ni sawa na soccer academy tu wanatrain watu kisha wanasepa...imagine akina Flora Nducha mkuu wa Idhaa ya Kiswahili UN Charles Hilary kikeke Abdul Mohd sudy mnete nk..sasa wameondika vijana wa nyakati hizi akina Allan Adrian Sebastian Patrick nk anaanza kulialia

Rutta hasomekagi vizuri sometime yes sometime no ilevo buu mazee kichwa mma,majembe mengi yanaondoka/yameondoka.
 
nimetamani nikupe like za kumwaga ila ndo hivyo mkuu Mkiu option ni kugonga mara moja tu.

nashukuru sana kwa ufafanuzi wako
 
Last edited by a moderator:
EFM nayo imevuna ITV kina Abubakary Lyongo na mwenzake na sasa wanataka kuhamia Clouds Fm wanamtaka Millard Ayo, wao wanatoa mshahara mnono nyumba na gari.

Kumchomoa mtangazaji pale Mawingi sio rahisi kama unavyofikiria. Tena redio yenyewe isiyovuka nje ya dar??? Hahahaha sijui habari nyingine mnazitoleaga wapi? Au mnazitoa kwenye vijiwe vya kahawa???
 
Kumchomoa mtangazaji pale Mawingi sio rahisi kama unavyofikiria. Tena redio yenyewe isiyovuka nje ya dar??? Hahahaha sijui habari nyingine mnazitoleaga wapi? Au mnazitoa kwenye vijiwe vya kahawa???

Mkuu subiri utakuja kusikia hii radio inavuna watangazaji kama imewaweka yenyewe ipi ina masafa marefu kati ya ITV na clouds fm? Vdj Penny nae amehamia EFM.
 
Mkuu subiri utakuja kusikia hii radio inavuna watangazaji kama imewaweka yenyewe ipi ina masafa marefu kati ya ITV na clouds fm? Vdj Penny nae amehamia EFM.

Penny kwenda huko sawa kwani Magic fm hawana jipya. Itv hakuna burudani hivyo ni vigumu kwa mtu wa entertainment kufanya kazi pale. Kwa radio presenter mwenye ndoto kubwa za kuteka soko lake hapa tanzania huwezi kutoka clouds ukaenda kutangaza efm... ni mwendawazimu pekee anayeweza kufanya uamzi wa hivyo. Kamuulize millad Ayo hadi anaenda kutangaza clouds alikua kahangaikia hiyo nafasi zaidi ya mara ngapi? Itv imekaa kizeezee isitegemee vijana kupang'ang'ania pale.
 
Ipp media ndio wa kwanza kuanzisha radio binafsi na tv hapa tz kama sikosei na wengine wamefuata ukitazama karibu 90% ya watangazaji waliokuja kuchukuliwa na media zilizofuata walitoka ipp wakaja wengine na wengine na bado mpaka leo bado wanaongia wengine na kuondoka pale ipp ni kama shule wanaingia wakiiva wanasepa wala haitetereki
 
Tatizo watu wanachoshindwa kuelewa ITV ile ni brand kubwa haitegemei kubebwa na watu bali yenyewe ndo inabeba watu na kuwatoa tuseme ni kama chuo. Ni tofauti kabisa na hivi viji-Radio na TV uchwara vinavyotegemea kubebwa na haiba za watu. Watakuja na kuondoka lakini yenyewe inabaki imesimama.

Ni sawa na Radio Clouds usitegemee ilipofikia bado inashobokea sura za watangazaji. Wamepita wangapi walowahi kuwa maarufu? Je wako wapi na radio iko wapi??? Wakati watangazaji walioondoka pale wakizidi kupotea kwenye masikio ya watu Radio ndo inazidi kushaini boda mpaka boda, watangazaji wanakuja na kutengeneza majina makubwa tu. Hata wenye shule ndogo wanaonekana bonge la watangazaji.

Gadner toka aondoke clouds umaarufu wake ulibaki kwenye penzi la Jide na sio utangazaji. Na ndo kajichimbia kaburi baada ya kutalikiana na Jide hutokaa umsikie aki-make headline kivile. Pale Mawingu kwenye Jahazi kuna dogo ana sauti kama Gadner wala huwezi kuona mapungufu yoyote.
Kifupi bongo ukitaka Habari nzuri za nchi utazikuta ITV na ukitaka habari nzuri za Burudani na wasanii utazipata Clouds fm. Hao wengine watasubiri sana kwani brand zao zinategemea nguvu ya watangazaji.
 
Kumchomoa mtangazaji pale Mawingi sio rahisi kama unavyofikiria. Tena redio yenyewe isiyovuka nje ya dar??? Hahahaha sijui habari nyingine mnazitoleaga wapi? Au mnazitoa kwenye vijiwe vya kahawa???

Inawezekana sana mkuu.... Gadner alikua mawingu akatimkia times... baada ya mkataba wake kuisha alikiri kupata ofa ya mawingu na efm ila akachagua efm....
 
Mkubwa unataka kuniambia Rehema ameondoka kitambo ITV? Mie ninayo Records yake akisoma habari hapa na pale ITV kama ya wiki mbili hivi na ndio maana siku hizi anasoma Farhia medree,aliyeondoka kitambo ni Adrian Stepp tu lakin wengine ni wapya.

Rehema Salim kaondoka ITV mwishoni mwa mwezi uliopita, na amejiunga na Azam TV mwanzoni mwa mwezi huu, wala sio kitambo.
Ova
 
Inawezekana sana mkuu.... Gadner alikua mawingu akatimkia times... baada ya mkataba wake kuisha alikiri kupata ofa ya mawingu na efm ila akachagua efm....

Hizo ni drama za kwenye Mkasi ya EATV alivyokua akijinasibu lakini wala hawajamuita na waliamua kumpotezea baada ya kuona keshavurugana na mkewe.

Kipindi walichomuomba arudi mjengoni ni kipindi kile alivyotoka rikizo ya muda mrefu na akatangaza kurudi mzigoni kwa sharti la kubadilishiwa kipindi. Alitaka wammpe kipindi kingine tofauti na Jahazi ndo Mabosi wake wakawa wamekataa na Times Fm ndo ikawa imekuja na ofa nzuri akaamua atimke na kumbuka kipindi hicho ka bifu ka jide na mawingu ndo kalikua kamepamba moto japo kwenye media hakakua na umaarufu.
 
Inawezekana sana mkuu.... Gadner alikua mawingu akatimkia times... baada ya mkataba wake kuisha alikiri kupata ofa ya mawingu na efm ila akachagua efm....

Labda nikukumbushe kidogo. Kipindi gadner anaenda Times fm hakuwa mfanyakazi wa mawingu. Alikua ana mwaka mmoja ameacha kazi clouds na kwenda kusimamia miradi ya mke wake.
 
Hizo ni drama za kwenye Mkasi ya EATV alivyokua akijinasibu lakini wala hawajamuita na waliamua kumpotezea baada ya kuona keshavurugana na mkewe.

Kipindi walichomuomba arudi mjengoni ni kipindi kile alivyotoka rikizo ya muda mrefu na akatangaza kurudi mzigoni kwa sharti la kubadilishiwa kipindi. Alitaka wammpe kipindi kingine tofauti na Jahazi ndo Mabosi wake wakawa wamekataa na Times Fm ndo ikawa imekuja na ofa nzuri akaamua atimke na kumbuka kipindi hicho ka bifu ka jide na mawingu ndo kalikua kamepamba moto japo kwenye media hakakua na umaarufu.

Wala si kweli ..Gardner hazoivi na Joe kitambo sana kabla mzee kusaga hajavuta..kumbuka enzi kitega uchumi na Gardner kuja na landcruiser Prado ya silver remember ..mzee kusaga ndio aliamua mrudisha jamaa mikoxhen toka kitega
 
Kwani mzee kusaga kafariki lini? Na gadner kaacha kazi lini pale?
Tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom