kumbe kuna azam tv??? ndio naiskia leo.
salama jabir naye watamchukua tu Azam ni noma
kwa hiyo alikuwa field au alikuwa replacement tu?
alikua kibarua pale
vingine atuachie na sisi,vyakula yeye,media yeye,mwe sasa na kwenye airtransport soon ataingiahuyu azam sasa ana-capture kila sekta. ni vema sana hii
Alikuwa mvumilivu kwa kweli,aliamini ipo siku angeajiriwa.Alikua kibarua kwa miaka saba kipindi anafariki ndo ilibumburuka
Alikuwa mvumilivu kwa kweli,aliamini ipo siku angeajiriwa.
Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba mikataba minono kutoka Azam ni Zainab Chondo,Rehema Salim,Adrian Hillary Step pamoja na Patrick(Sports),ili ni pigo jingine kwa IPP.
Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba mikataba minono kutoka Azam ni Zainab Chondo,Rehema Salim,Adrian Hillary Step pamoja na Patrick(Sports),ili ni pigo jingine kwa IPP.
Ni redio mpya hapa Darisalam.
Inavuna watangazaji kama ilipanda yenyewe.
Ilimvuna yule mtangazaji mahiri wa michezo miaka nenda rudi ambaye anasemekana anamiliki wake wanne, huyu si mwingine, bali ni Maulid Kitenge aliyekuwa akilala na kuamkia IT/VRadio One, lakini na mwenzake Omary Katanga hawakumwacha mbali.
Pia yupo Gadner G. Habash (mtalaka wa lady GaGa, sorry, Lady Jay Dee) ambaye alikuwa akipitisha sauti yake kupitia 100.five kwenye kipidi cha Maskani, sasa ana kipindi cha Ubaoni Hapo EFM.
Lakini pia yupo Sam Kiama wa Bonanza kubwa la Radio Free Africa ingawa sio rahisi kumsikia coz inawezekana yupo kitengo kingine hapo EFM.
Kuna presenter mwingine maarufu sana bongo huwa anatangaza mchana ila jina limenitoka, lakini wapo akina Sebo nk.
Kwa sasa habari ya hapa mjini kuhusu redio ni EFM tu na craaaaauss FM kwa mbaaaaaaliiii.
Natumai umeelewa kwa uzuri sana.
Nimesoma namna ulivyowasilisha imebid nicheke,, safi sana Mkuu!!
Mabepari noma
Wazawa wazalendo eti
Wanaingiza ma bilion. Ajira wanawapimia kwA kijiko
vingine atuachie na sisi,vyakula yeye,media yeye,mwe sasa na kwenye airtransport soon ataingia