Azam Group wawanyang'anya IPP wafanyakazi wa kumwaga

Azam Group wawanyang'anya IPP wafanyakazi wa kumwaga

Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba mikataba minono kutoka Azam ni Zainab Chondo,Rehema Salim,Adrian Hillary Step pamoja na Patrick(Sports),ili ni pigo jingine kwa IPP.

hao mbona cha mdoli?
 
Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba mikataba minono kutoka Azam ni Zainab Chondo,Rehema Salim,Adrian Hillary Step pamoja na Patrick(Sports),ili ni pigo jingine kwa IPP.

chombo makini cha habari ni kile kinachoweza pata replacement ya wafanyakaz hata wakiondoka, kuhama kazi ni mambo ya kawaida sana hasa kwa ss wa sekta binafsi!!!
 
Mshahara siku zote hautoshi hata huko Azam Tv ikatokea Clouds Tv wanakuja na dau kubwa wanachapa mwendo kwani kampuni za kwao hata mimi nilipo nikipata dau juu na mazingira nikiahidiwa mazuri ning'ang'anie sehemu kwa lipi?
 
Ni redio mpya hapa Darisalam.
Inavuna watangazaji kama ilipanda yenyewe.
Ilimvuna yule mtangazaji mahiri wa michezo miaka nenda rudi ambaye anasemekana anamiliki wake wanne, huyu si mwingine, bali ni Maulid Kitenge aliyekuwa akilala na kuamkia IT/VRadio One, lakini na mwenzake Omary Katanga hawakumwacha mbali.
Pia yupo Gadner G. Habash (mtalaka wa lady GaGa, sorry, Lady Jay Dee) ambaye alikuwa akipitisha sauti yake kupitia 100.five kwenye kipidi cha Maskani, sasa ana kipindi cha Ubaoni Hapo EFM.
Lakini pia yupo Sam Kiama wa Bonanza kubwa la Radio Free Africa ingawa sio rahisi kumsikia coz inawezekana yupo kitengo kingine hapo EFM.
Kuna presenter mwingine maarufu sana bongo huwa anatangaza mchana ila jina limenitoka, lakini wapo akina Sebo nk.
Kwa sasa habari ya hapa mjini kuhusu redio ni EFM tu na craaaaauss FM kwa mbaaaaaaliiii.
Natumai umeelewa kwa uzuri sana.

Nimesoma namna ulivyowasilisha imebid nicheke,, safi sana Mkuu!!
 
Watangazaji siwatofautishi na Mabaamedi pamoja na wanamuziki , wanakimbia kimbia kimbia kama Wadada wa Ambiance wakiona Pajero :sorry: but Maisha yao yanakuwa vile vile tu .....sana sana huyo Mahau-lidi ataongeza Mke na kujikuta Pesa bado haitoshi ! ITV Itabaki kuwa ITV tu hata aondoke nani they can be replaced by New peoples ....acha na wengine wapate Ajira
 
Nimesoma namna ulivyowasilisha imebid nicheke,, safi sana Mkuu!!

Soma na hapa pia.
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/757504-baada-ya-kukosa-mkaliaji-rfa-kurudi-kwenye-kiti-chake-mtoto-wa-mama-sabuni-ndani.html#post11125935
 
Waliondoka akina Dr Misanya Bingi na bado ITV ipo palepale,wanachofanya ITV ni kuhakikisha mawe hayaondoki,pale ni kama Chuo cha Uandishi habari,utakuja malighafi utatoka dhahabu
 
Back
Top Bottom