Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
ufoo je kabaki?
Yupo na silem jicho kama linadondoka,,mkuu humwambii kitu kwa Ufoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ufoo je kabaki?
Fanya research njoo na data tuanzie Hapo ..unataka nikupe info kumbe kichwan mweupe ..
Kwan kila aulizaye ni mweupe kichwani? Nina uhakika na majibu yangu.
Hoja yako ni nini mshindia mikopo?
Rehema Salim au kaenda nyumbani? Maana ubini wake kama vile una uhusiano wa damu na AZM.Rehema Salim kaondoka ITV mwishoni mwa mwezi uliopita, na amejiunga na Azam TV mwanzoni mwa mwezi huu, wala sio kitambo.
Ova
Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba mikataba minono kutoka Azam ni Zainab Chondo,Rehema Salim,Adrian Hillary Step pamoja na Patrick(Sports),ili ni pigo jingine kwa IPP.
EFM nayo imevuna ITV kina Abubakary Lyongo na mwenzake na sasa wanataka kuhamia Clouds Fm wanamtaka Millard Ayo, wao wanatoa mshahara mnono nyumba na gari.
Hao azam group wakianzisha benki ya kiislam inayotoa mikopo bila riba hapo ndio nita waona wa maana.
Mbona ipo kwenye pipeline! Unajua Azam kajipanga! Atakamata uchumi wa nchi kadri siku zinavokwenda!
Simpendi na iman yake lakini kazi anapiga!
siku wakimchukua GODWIN GONDWE nitaumwa kwa kweli,nampenda sana akiwa anatangaza taarifa ya habari ITV
Godwin Gondwe alikataa kuajiliwa ITV anafanya kazi kwa mkataba tu.
Namkumbuka Rehema Mwakangale,kwani hakuwa muajiriwa wa ITV?Mbona ITV hakuna waajiriwa pale!
Mikataba yenyewe wengi tu unawaona wamevaa makoti mazuri yanaishia vifuani lakini hawana, yaani wanafanya kazi kama ma-day worker wanaopiga debe Ubungo-M/Mmoja.
Siku akifa ndio mnabaki midomo wazi, yaani mtu alikuwa na jina kubwa, kumbe hata mkataba hana.
Unamkumbuka marehemu Rehema Mwakangale?
Namkumbuka Rehema Mwakangale,kwani hakuwa muajiriwa wa ITV?
kwa hiyo alikuwa field au alikuwa replacement tu?hakuwa na mkataba