Kama Simba walivyomfayatua Hashim Rungwe fcSimba alifyatuliwa kama mtoto na haohao azam
Kama sio uchawi ninyi mbwa hamna ubavu hata wa kutoka suluhu na YANGA mbwa ninyiKama Simba walivyomfayatua Hashim Rungwe fc
sasa yeye mwenyewe ni simba,atafanya nini?Mmiliki alete uongozi mpya.Alete mwalimu mpya.Aachane na hawa watanzania wenye usimba na yanga.Akiishi kwa mazoea,ubingwa hawezi kuupata.
Kwa sasa wanaikamia Simba kwa vile kocha ni mwanayanga.
Siku akipewa kocha mwanasimba utaona yanga inakamiwa.Mwekezaji atakuwa mpuuzi iwapo naye anafurahia haya na timu haina mafanikio.
Wachezaji wake ni wa kawaida sana ni kama wa ihefu tu
Wachezaji wake wa kawaida sana wakati wanakukanda kila mnapokutana ebho we jamaa vipi? Au kwa kuwa yanga inawakanda hao Azam ndiyo hasira yenyewe? Wanakandwa na timu inayowazidi ubora lakini wakikutana na timu lonya lonya ya kuunga unga kama simba ni kilio na kusaga meno!Mmiliki alete uongozi mpya, alete mwalimu mpya aachane na hawa Watanzania wenye Usimba na Uyanga. Akiishi kwa mazoea, ubingwa hawezi kuupata. Kwa sasa wanaikamia Simba kwa vile Kocha ni Mwanayanga.
Siku akipewa Kocha Mwanasimba utaona Yanga inakamiwa. Mwekezaji atakuwa mpuuzi iwapo naye anafurahia haya na timu haina mafanikio.
Wachezaji wake ni wa kawaida sana, ni kama wa Ihefu tu.
Na kweli.Wachezaji wake wa kawaida sana wakati wanakukanda kila mnapokutana ebho we jamaa vipi? Au kwa kuwa yanga inawakanda hao Azam ndiyo hasira yenyewe? Wanakandwa na timu inayowazidi ubora lakini wakikutana na timu lonya lonya ya kuunga unga kama simba ni kilio na kusaga meno!
Giant wa africa ata kwenye ranking top 10 enyewe hayupo,Kisa kufungwa na Yanga ,kwan si useme tu Yanga ni Giant of Africa na Ndio maana kacheza Fainali ya shirikisho + ana medali za CAF.
Sio ndio maana walimtafuta.Kwann nyie nani aliwazuia kuwa na mayele wenu?YANGA bila mayele hamna kitu
Mkuu umenichekesha sana asubuhi ya leo. Nimecheka hadi watu wamenishangaa kwenye dala dala ingawa imeshona hatari!Hii timu apewe Mwarabu DP World. Ni upumbavu mtupu
Mbna Yanga yenye ubora ilikandwa na hiyo simba unayoita lonnya lonya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachezaji wake wa kawaida sana wakati wanakukanda kila mnapokutana ebho we jamaa vipi? Au kwa kuwa yanga inawakanda hao Azam ndiyo hasira yenyewe? Wanakandwa na timu inayowazidi ubora lakini wakikutana na timu lonya lonya ya kuunga unga kama simba ni kilio na kusaga meno!