Mmiliki alete uongozi mpya, alete mwalimu mpya aachane na hawa Watanzania wenye Usimba na Uyanga. Akiishi kwa mazoea, ubingwa hawezi kuupata. Kwa sasa wanaikamia Simba kwa vile Kocha ni Mwanayanga.
Siku akipewa Kocha Mwanasimba utaona Yanga inakamiwa. Mwekezaji atakuwa mpuuzi iwapo naye anafurahia haya na timu haina mafanikio.
Wachezaji wake ni wa kawaida sana, ni kama wa Ihefu tu.