Azam hawakufanya utafiti kabla ya kumfukuza kocha

Katika mazingira hayo hayo anatakiwa ashinde
 
Mbona yanga walimfukuza kocha na walikuwa hawajapoteza mechi hata 1
Yanga walimfukuza wakitafuta mfumo wa kampa kampa tena. Timu ilikuwa inashinda lakini Burudani hakuna.
 
Kama hawajalizika watamfukuza tena, kwasabu timu inaweza kufungwa wakati ikicheza mpira wa kiburudani. Kule Zanzibar huwa wanasema kufungwa tunafungwa lakini chenga tunawala. Inamaana mpira ni furaha pia uwanjani
 
6. Uongozi wa vilabu vyetu hawana taaluma ya kuongoza soka, wanabahatisha tu.

Mimi sio mtaalam wa mpira lkn kwa uzoefu wangu kwny namba 6-uongozi hapa ndo tunafeli sana sio kwny mpira tu, hata kwny taasisi nyingine ziwe za kidini, serikali au binafsi. Kwny uongozi thabiti matatizo mengi yanaweza kudhibitiwa. Naamini tatizo la Azam ni uongozi kwa sasa, azam ni timu ilikuja vzr kiasi tukaamini itazipita Simba na Yanga kwa margin kubwa lkn mpaka sasa inaonekana ni timu ya kawaida sana with all the investment achieved so far. Nadhan kwa busara tu uongozi wa sasa uachia madaraka waje wengine na mawazo mapya.
 
Huo ndio ukweli, hata Azam media inakwenda vizuri kutokana na kuwa na viongozi kama akina Tido Mhando, Charles Hilary wenye utaalamu mkubwa wa uongozi wa media.

Kama Tido angeendelea kubaki TBC huenda ingeonyesha ligi zote za Tanzania, ngumi, CECAFA, CAF na EPL. Lakini tangu aondoke TBC kila mtu anafahamu kilichotokea TBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…