Azam hawapoi Wang’oa Kiungo Raja Casablanca

Azam hawapoi Wang’oa Kiungo Raja Casablanca

bado wale wengine wamesajili makapi ya lunyasi,ligi ianze tuoneshane makali walahi
 
Hv wachezaj wakiarabu hua hawanunuliki au vp mana ningum kuona mwarabu kutoka huko acheze huku sub saharan
 
Hv wachezaj wakiarabu hua hawanunuliki au vp mana ningum kuona mwarabu kutoka huko acheze huku sub saharan
Mishahara yao ni mikubwa sana, wengi wao hulipwa kuanzia $25k/monthly na hawa ni wale wenye uwezo wa kawaida. Yanga na Simba mchezaji anayelipwa pesa nyingi ni $12k/monthly.

Level ya mpira wetu bado hatujafikia kiwango cha kwenda kuwavua waarabu wachezaji wa vikosi vya kwanza. Hatua ya kwanza ni lazima tutoke huku kwenye mishahara midogo. Angalau tuwe na wachezaji wanaolipwa zaidi Tshs. 50M kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom