Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Mchezaji mzuri hatolewi kwa mkopo, huyo ni kimeo.Alikua kwa mkopo kama Okwa
Siyo kweli, mbona Baleke anaupiga mwingiMchezaji mzuri hatolewi kwa mkopo, huyo ni kimeo.
Ukiliwa wewe inatoshaSasa mbona unaongea Kama huliwi matako
Luis miquisone ni kimeo sio kimeo?Mchezaji mzuri hatolewi kwa mkopo, huyo ni kimeo.
Mishahara yao ni mikubwa sana, wengi wao hulipwa kuanzia $25k/monthly na hawa ni wale wenye uwezo wa kawaida. Yanga na Simba mchezaji anayelipwa pesa nyingi ni $12k/monthly.Hv wachezaj wakiarabu hua hawanunuliki au vp mana ningum kuona mwarabu kutoka huko acheze huku sub saharan