Azam hawezi kutumia jina lingine katika boxing hadi atumie "vitasa" ambayo ni ID ya mwamaluka

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.

Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta huruma

Mambo ya mahakama hayana huruma

Tafuta I'd yenu achaneni na vitasa.
 
Wala huyo Mwamakula jina alilolipendekeza halikuwa "Vitasa" bali alipendekeza "Ngumi kazi kazi ".
 
Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.

Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta huruma

Mambo ya mahakama hayana huruma

Tafuta I'd yenu achaneni na vitasa.
Aliwahi kusajili hilo jina brela?
Sheria za hati miliki zinatambua content sio misemo.
Mfano yule comedian aliesema "hujasema bado, mpaka useme" alipoona msemo wake umetumiwa kwenye matangazo ya biashara, alienda brela kutaka kusajili ili awe na haki na hayo maneno lakini brela walimkatalia wakidai wanasajili content nzima sio msemo wa kiswahili tu.
 
Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.

Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta huruma

Mambo ya mahakama hayana huruma

Tafuta I'd yenu achaneni na vitasa.
Azam wenyewe wababaishaji tangu habari ya mwakinyo niligundua ni wadhaifu wa kuzira!
 
Huna unalolijua kumbe. Mwamakula hakuiita hiyo show vitasa. Isipokuwa mwamakula alipeleka proposal azam kwa jina la ngumi kazi kazi.

Proposal ilionyesha mtiririko mzima wa show itakavyokuwa. Azam waliipokea na wakamjibu kwa barua jamaa kwamba wanafanyia kazi for further steps.

Baada ya muda show ileile aliyopropose jamaa inaruka hewani lkn ikiwa na jina tofauti ila content na mtiririko ni uleule. Hapo ukiwa smart lazima upige pesa mzee.
 
Si ndio vizuri Azam kajitoa huyo jamaa aendeleze hiyo idea. Apeleke hata Star Tv.
 
Huna unalolijua kumbe. Mwamakula hakuiita hiyo show vitasa. Isipokuwa mwamakula alipeleka proposal azam kwa jina la ngumi kazi kazi.

Proposal ilionyesha mtiririko mzima wa show itakavyokuwa. Azam waliipokea na wakamjibu kwa barua jamaa kwamba wanafanyia kazi for further steps.

Baada ya muda show ileile aliyopropose jamaa inaruka hewani lkn ikiwa na jina tofauti ila content na mtiririko ni uleule. Hapo ukiwa smart lazima upige pesa mzee.
Nimekuelewa vizuri sana, jamaa ana haki kisheria!
 
Back
Top Bottom