Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Awali mlalamikaji alitaka 2 bilion ila siku ya hukumu Azam ikaamuliwa walipe milioni 20.Ni kiasi gani wanatakiwa kulipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awali mlalamikaji alitaka 2 bilion ila siku ya hukumu Azam ikaamuliwa walipe milioni 20.Ni kiasi gani wanatakiwa kulipa?
Sas milion 20 si hela ya Azam ukwaju deli 10 😂 ndio asuse.. labda kuna namna..Awali mlalamikaji alitaka 2 bilion ila siku ya hukumu Azam ikaamuliwa walipe milioni 20.
Humu watu wahongo sana ,250 millionSas milion 20 si hela ya Azam ukwaju deli 10 😂 ndio asuse.. labda kuna namna..
Duh, pesa ndefu hasa..Humu watu wahongo sana ,250 million
Business law imefanya kazi. Kiukweli kama unavyosema kinachitakiwa ni maudhui na si memo (slogan)Huna unalolijua kumbe. Mwamakula hakuiita hiyo show vitasa. Isipokuwa mwamakula alipeleka proposal azam kwa jina la ngumi kazi kazi.
Proposal ilionyesha mtiririko mzima wa show itakavyokuwa. Azam waliipokea na wakamjibu kwa barua jamaa kwamba wanafanyia kazi for further steps.
Baada ya muda show ileile aliyopropose jamaa inaruka hewani lkn ikiwa na jina tofauti ila content na mtiririko ni uleule. Hapo ukiwa smart lazima upige pesa mzee.
Fatilia kwa kina sio unaandika vitu usivyokuwa na uhakika navyo, shida sio jina shida ni contentMbona wanasema ni vitasa hadi amesajili