Wala huyo Mwamakula jina alilolipendekeza halikuwa "Vitasa" bali alipendekeza "Ngumi kazi kazi ".Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.
Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta huruma
Mambo ya mahakama hayana huruma
Tafuta I'd yenu achaneni na vitasa.
Idea mfanano na sio jina VitasaMbona wanasema ni vitasa hadi amesajili
Aliwahi kusajili hilo jina brela?Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.
Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta huruma
Mambo ya mahakama hayana huruma
Tafuta I'd yenu achaneni na vitasa.
Azam wenyewe wababaishaji tangu habari ya mwakinyo niligundua ni wadhaifu wa kuzira!Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.
Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta huruma
Mambo ya mahakama hayana huruma
Tafuta I'd yenu achaneni na vitasa.
ndugu imagine wewe ndio GM wa azam na boss wako anataka hesabu ya maelezo ya kwanini walipe fine..? unapokuwa unasimamia biashara yoyote lazima utoe maelezo ya hasara yoyote ile! so unachoona kinatokea ni aidha matokeo ya kupinga ama kujinusuru na hasara!.Azam lipa Deni!!
All the best
Nimekuelewa vizuri sana, jamaa ana haki kisheria!Huna unalolijua kumbe. Mwamakula hakuiita hiyo show vitasa. Isipokuwa mwamakula alipeleka proposal azam kwa jina la ngumi kazi kazi.
Proposal ilionyesha mtiririko mzima wa show itakavyokuwa. Azam waliipokea na wakamjibu kwa barua jamaa kwamba wanafanyia kazi for further steps.
Baada ya muda show ileile aliyopropose jamaa inaruka hewani lkn ikiwa na jina tofauti ila content na mtiririko ni uleule. Hapo ukiwa smart lazima upige pesa mzee.
Kwamba ndo anatumia hilo hakuna namna