Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

From Meru

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2023
Posts
3,931
Reaction score
9,376
Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

Uzi tayari.
 
Mwenyewe nimeusikia. Hii ikawe hamasa kuanzia kwa hizi timu mpaka mashabiki wao wajue kila raia yupo nyuma kuwatakia mafanikio zaidi.
 
Huu mziki umenihamasisha ninunue Jezi ya mamelodi orijino. Siku ya kwanza navaa Jezi ya al ahly ya yule jamaa myahudi aliyebaki misri kipindi wenzake wanaondoka, siku ya pili ya mamelodi
 
Back
Top Bottom