Azam hua mnakosea sana kwenye matangazo yenu ya Derby

Azam hua mnakosea sana kwenye matangazo yenu ya Derby

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Azam kitengo Cha Promotions hua mnafanya Sana hili kosa la double standard kwanini?

Yani inachekesha sana Kwenye games 2 za mwisho Yanga Vs Simba zote Yanga ameshinda Tena Kwa goli 1-0 zote hapo Simba hajafunga hata goli la kuotea ila Kwa tangazo lenu official la Derby mnaonyesha Simba anafunga.

Yan munatafta games za huko Lini sijui au mnachukua games za Simba vs mashujaa kuonyesha Forward za Simba zinafunga.

Huu ni Uhuni Azam,

Kama Simba haijafunga goli katika match 2 za mwisho vs Yanga matangazo yangebaki vilevile Simba anapigwa Vyuma tu na Mashabiki wanalia au Kwa kuwasaidia mngeonyesha wanaingia Uwanjan tu wakiwa na Furaha kwingine ni maumivu.

Mi Ulaya ni shabiki wa Man United ila hua tukiwa tunacheza na Man city sijawah ona inachukuliwa game ya Mwaka Juzi kwenye tangazo Maalumu ku advertise derby iliyopo..

Yan kama tulipigwa 6 last game utaona kina Haaland tu wanaingia wavuni maybe poneaponea Ili usikereke sana uwepo uchambuzi ndio utaona kama kumbukumbu hizo games za miaka hio ila Kwa Tangazo official la Derby huoni huo Ujinga.

Badiliken Azam.

Usiku Mwema.
 
Back
Top Bottom