kwa mbaliiiiiiiiiiiiii hivi ina come come....Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open... kama hazi operate, nimejifunza kitu....
Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
Yaani akikujibu naomba unitagKwahiyo unataka kusemaje mkuu??
Kua serious kidogo, kuna watu ni mama ntilie humu ndani na ni waislam, afunge ili ale wapi,??.Tuwe serious kumtafuta Mwnyz MUNGU( in any way )Mfano Kama Bakhresa afanyavyo ndani ya mwezi huu wa Ramadhan, yaani kuzingatia ibada ya Funga ndan ya biashara ili kujitengnezea Capabilities of getting SUCCESS like him.
Ni hii ndio umetaka kusema ama ni nini ?
Vipi viwanda vyake navyo vimefungwa?Sijachunguza ila kama hazipo jibu ni kuwa azam bkharesa linapokuja suala la ibada hana mchezo.mwez wa ramadhan ni kuacha tu kuzalisha.ziliwe zilizopo stock ila kuzalisha mwez mtukufu sitak dhambi
Ndo maana hanunui maembe kwa ajili ya kutengenezea juisi kutoka kwa wakulima wakristo?Sijachunguza ila kama hazipo jibu ni kuwa azam bkharesa linapokuja suala la ibada hana mchezo.mwez wa ramadhan ni kuacha tu kuzalisha.ziliwe zilizopo stock ila kuzalisha mwez mtukufu sitak dhambi