Azam Ice Cream hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani

Azam Ice Cream hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani

HISTAMINE

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
477
Reaction score
1,135
Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open. Kama hazi operate, nimejifunza kitu.

Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
 
Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open... kama hazi operate, nimejifunza kitu....
Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
kwa mbaliiiiiiiiiiiiii hivi ina come come....
 
Tuwe serious kumtafuta Mwnyz MUNGU( in any way )Mfano Kama Bakhresa afanyavyo ndani ya mwezi huu wa Ramadhan, yaani kuzingatia ibada ya Funga ndan ya biashara ili kujitengnezea Capabilities of getting SUCCESS like him.

Ni hii ndio umetaka kusema ama ni nini ?
 
Kua serious kidogo, kuna watu ni mama ntilie humu ndani na ni waislam, afunge ili ale wapi,??.
 
So kama amesimamisha biashara kwa sababu ya yeye kufunga?

Labda uulize kwanza kwa wenye dini yao kwamba "kama mtu anauza bidhaa za vyakula je akiendelea kuifanya atakuwa anatenda dhambi?",maana kuna watu walikuwa wanaishi kwa hiyo kazi na sasa wanalala njaa maana boss kanuna.
 
Sijachunguza ila kama hazipo jibu ni kuwa azam bkharesa linapokuja suala la ibada hana mchezo.mwez wa ramadhan ni kuacha tu kuzalisha.ziliwe zilizopo stock ila kuzalisha mwez mtukufu sitak dhambi
 
Sijachunguza ila kama hazipo jibu ni kuwa azam bkharesa linapokuja suala la ibada hana mchezo.mwez wa ramadhan ni kuacha tu kuzalisha.ziliwe zilizopo stock ila kuzalisha mwez mtukufu sitak dhambi
Vipi viwanda vyake navyo vimefungwa?
Mbona vinazalisha unga, mikate, juis n.k kama ilivyo ada?

Tuacheni ushabiki mandazi!
 
Sijachunguza ila kama hazipo jibu ni kuwa azam bkharesa linapokuja suala la ibada hana mchezo.mwez wa ramadhan ni kuacha tu kuzalisha.ziliwe zilizopo stock ila kuzalisha mwez mtukufu sitak dhambi
Ndo maana hanunui maembe kwa ajili ya kutengenezea juisi kutoka kwa wakulima wakristo?
 
Back
Top Bottom