Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao.

Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo Azam itazimudu.
 
Kwani unawachukulia poa Azam kufungwa kila timu inafungwa hiyo Azam msimu huu imembandua yanga
 
Yaani kama timu ya EPL mfano manchester ihamie kule sijui Scotland!
 
Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao.

Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo Azam itazimudu.
iende zenji ili ukibaraka wa simba ukome
 
Jana Simba kaonyesha ni simba kweli ! sio simba wa makaratsi.Hakuna cha fei wala yule fala aliemuumiza Pacome na yule aliemuumiza Yao yao. Hao Azam wabaki tu kucheza ndani ndo huyo Fei ajue alichezea moto sasa unamuunguza na nafasi ya pili hao Azam hawaipati mtani ongeza motoo !
 
Azam imetuumiza sana jana kufungwa na Simba. Nadhani ifutwe kabisa isiwepo kwenye Ligi.
Timu gani chini ya Kocha mpya haikuwa bora ilihali kila mchezaji huitaji namba? Subirini baada ya mechi 5 mfululizo ndipo muhemukwe kuwa Makolokolo ni bora [emoji847]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Wamiliki wa azam hawaja amua tu kuweka mzigo, ila wakiwa serious na soka basi hata simba na yanga zitaachwa mbali.
 
Back
Top Bottom