Azam isipobeba ubingwa wala kushika nafasi ya 2 msimu ujao wavunje timu

Azam isipobeba ubingwa wala kushika nafasi ya 2 msimu ujao wavunje timu

Labda msimu huu wabadilike maana kocha wao wa Sasa Ni swala tano, ameleta wasaidizi wake.....maeneo ya kuongeza nguvu ni Beki wa Kati,Beki wa pembeni wa kushoto,replace ya Kangwa,striker mmoja hatari asaidiane na Dube huku Idris Mbombo akitokea benchi.

Kufanyia kazi Tatizo la kupoteza mechi za mikoani na timu zingine tofauti na timu za Kariakoo.
 
Sina haja kusubiri matokeo ya msimu ujao kwani tayari najua Yanga atachukua makombe yote (including mapinduzi) pamoja na ngao ya jamii. Kischojulikana ni nafasi tatu zinazogfuata za ligi kuu.
 
HAWANA BEKI 5.

HAWANA MSHAMBULIAJI. 9

MBOMBO NI MZIGO MZITO MNO

Alex Ferguson ALIWAHI kusema
Washambuliaji wanashinda mchezo. Mabeki wanakupa Mataji.

Sijui Walishindwaje KUMPATA mshambuliaji Langa Chivaviro.

Simba ilipokuwa unashinda Mataji ilikuwa na Kagere, Boko, Okwi na Baadaye Chris MUGALU.
 
Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.

Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.

Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido Feitoto, muuaji ni Jini Makata Prince Dube na Idriss Mbombo.

Benchi kuna Lyanga, Nado, Bajana, Tepsi, Kipre Junior.

*****
Kauli ya kiboya hii
 
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa....bure tu hao.
 
Back
Top Bottom