Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwamba Yanga kamwachia Azam amfunge?hizi akili zinapatikana Utopolo tu!Ila, mashabiki wa simba kweli ni mbumbumbu....hata hesabu mnashindwa kupiga?
Wakati mnashangilia yanga kufungwa, rudini mezani kuangalia mechi zenu zilizobaki na za wenzenu yanga na azam.
Kama hamjua yanga wanawaumiza nyie simba. Maana mmebakiwa na mechi zote ngumu.
Simba mkijichanganya mpoteze na yanga halafu mje mpoteze na azam mjue mnamaliza nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.
Usitafute sababu sema majini yenu yalikuwa likizo. cc F. Mayelle.Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.
Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.
Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
Eti babati ilikua upande wao... 😂Azam hawakua tofauti na siku zote, tena jana kulinganisha na mechi za karibuni hawakua na takwimu nzuri katika mashambulizi ukilinganisha na Yanga.
Azam jana babati ilikua upande wao.
Maana ata ukisema waliamua kupaki basi, lakini Yanga waliweza kumfikia kipa katika attempt zao, ima maana diffence ilikuwepo lakini Yanga mara nyingi walimfikia kipa ila mpira haukuingia.
Azam wao walifanya mashambulizi machache ambayo yaliweza kumfikia diara kwa kufunga au diara kucheza.
Yanga walikua na uchovu mwingi ila bado kwa namna walivyo cheza hawakustahili kupoteza ila jana ilikua siku mbaya kazini.
Ni kichaa tu anayeamini kuwa 🐸🐸watachukua ubingwa wa NBCPL 😂😂Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
Kwahyo mpka sasa na wao wameshapigwa mechi 2....Fesali fesali kachafua cvNi kichaa tu anayeamini kuwa 🐸🐸watachukua ubingwa wa NBCPL 😂😂
Kuna 🐸🐸hapa wanadai kuwa waliwaachia tu Lamba Lamba walambe 🐸.walivyo cheza hawakustahili kupoteza ila jana ilikua siku mbaya kazini
Kwahiyo mkaenda kwenye mechi mmelegeza matako? Kwanini hamkukamia mshinde?Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.
Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.
Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
Na next mechi Watapigwa, na mechi ifuatayo wapigwa pia 😂😂Kwahyo mpka sasa na wao wameshapigwa mechi 2....Fesali fesali kachafua cv
tuwekeane dau na ushahidi uwekwe.Ni kichaa tu anayeamini kuwa 🐸🐸watachukua ubingwa wa NBCPL 😂😂
kwani simba kapoteza ngapi?Kwahyo mpka sasa na wao wameshapigwa mechi 2....Fesali fesali kachafua cv
Kwahiyo akili yako inakuambia kabisa simba atapoteza game zote mbili ya azam na uto? huyu feitoto kaleta balaa nchini.Ila, mashabiki wa simba kweli ni mbumbumbu....hata hesabu mnashindwa kupiga?
Wakati mnashangilia yanga kufungwa, rudini mezani kuangalia mechi zenu zilizobaki na za wenzenu yanga na azam.
Kama hamjua yanga wanawaumiza nyie simba. Maana mmebakiwa na mechi zote ngumu.
Simba mkijichanganya mpoteze na yanga halafu mje mpoteze na azam mjue mnamaliza nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.
2kwani simba kapoteza ngapi?
zitaje
Zigoogle ..zitaje