Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.

Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.

Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua?
anyway wameshinda na huo ndio mpira ulivyo
 
Back
Top Bottom