kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,646
- 9,623
Baada ya kuondoa La liga kwenye listi ya ligi mnazoonyesha sasa msisismko umepungua maana Bundasiliga hakuna ushindani sana na mashabiki wengi .
Kama itakua heri mtuletee Serie A ya Italy ili kukidhi haja ya wateja wenu maana vifurushi mmeongeza bei wakati hakuna mabadiliko yoyote ya kuongeza burudani kwa mteja.
Azam Tv...Burudani kwa wachache.