barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ghafla hawa sio wahenga tena, dah!!Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghafla hawa sio wahenga tena, dah!!Azam ni Simba B...unawezaje kuwaachia bure wachezaji 4 muhimu kwa mpinzani wako...Azam+Mtibwa+Simba wameungana ili kushinda VPL...nafwaaaaa
Hao Simba na Yanga ni sawa na Bondia sugu kila akipigwa bado anataka Mechi ya marudiano, Miaka Nenda miaka rudi hata Kiwanja cha Mazoezi wameshindwa kujenga hivyo hao si Watu wa kuigwa na Azam.Hivi hamuoni aibu kuisema Azam na kuziacha Simba na Yanga??
Sawia mkuu. Azam inakuwa kama Asenali tu sasa ya England.Hao Simba na Yanga ni sawa na Bondia sugu kila akipigwa bado anataka Mechi ya marudiano, Miaka Nenda miaka rudi hata Kiwanja cha Mazoezi wameshindwa kujenga hivyo hao si Watu wa kuigwa na Azam.
Aidha kwa uwekezaji wa Azam tulitarajia ile timu itakuwa si ya kushindanishwa na Simba au Yanga, ingepaswa kutoa Ushindani kwa Timu zinazofanya vizuri kama TP Mazembe, etc!
Au wewe unataka tuishindanishe na hao akina Singida United?
Hapa ndipo walipobugikama hujui hata mmiliki wa timu alikuwa mfadhili wa simba na upenzi wa simba na yanga ni hadi kaburini
[emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tawi halali la bi hindu fc
Uwezo wenye wa kigoli kimoja tena kwa msaada mkubwa wa refaYani mashabiki wa Yanga bhana..
Kisa Simba kaipiga Azam basi ndyo timu mbovu..
Sio timu mbovu mkuu, uwezo wa Ndemla,Okwi Na Kwasi Ni Mkubwa Mno..
Hujaona mafanikio ya azam.uwanja ,gari malipo mazuri yaani kipindi kifupi hatua waliyofikia naona kama tatizo kumbuka hizo TP mazembe mafanikio yao cii ya miaka 10 wamekaa mda mrefu kufikia hayo mafanikioHao Simba na Yanga ni sawa na Bondia sugu kila akipigwa bado anataka Mechi ya marudiano, Miaka Nenda miaka rudi hata Kiwanja cha Mazoezi wameshindwa kujenga hivyo hao si Watu wa kuigwa na Azam.
Aidha kwa uwekezaji wa Azam tulitarajia ile timu itakuwa si ya kushindanishwa na Simba au Yanga, ingepaswa kutoa Ushindani kwa Timu zinazofanya vizuri kama TP Mazembe, etc!
Au wewe unataka tuishindanishe na hao akina Singida United?
Mkuu hiyo ilikuwa ni baadhi ya Miundombinu ya Msingi iliyokuwa kwenye Mipango ya Club toka inaanzishwa.Hujaona mafanikio ya azam.uwanja ,gari malipo mazuri yaani kipindi kifupi hatua waliyofikia naona kama tatizo kumbuka hizo TP mazembe mafanikio yao cii ya miaka 10 wamekaa mda mrefu kufikia hayo mafanikio