Azam kuachana na Kiungo wake issa ndala

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
BREAKING NEWS:

Baada ya kukamilisha uhamisho wa Bangala kutokea Yanga huenda @azamfcofficial ikampunguza kiungo wao Isah Ndala ili kutimiza idadi ya wachezaji wa kigeni (12).

Taarifa zinaeleza kuwa Ndala hafit kwenye mfumo wa mwalimu mpya.

🎯 To be confirmed.
 
Da! ulivyosema breaking!!!! tukajua ni confirmed kumbe huenda ikawa.....
 
Huyu ingewezekana angekuja Yanga basi tu. Usajili wa hizi timu zetu ni mihemko sana wakati mwingine.
 
Daah huyu mtu Azam wamemuacha........daah Yanga kwa nini wasifikirie kumvuta.
 
Mchezaji wa kawaida saaaana. Wanigeria pia hawajitumi uwanjani hata wakiwa katika timu yao ya taifa
 
UNAJUA MAANA YA BREAKING NEWZ????

ACHA USHAMBA NA UMAHAMUMA.

ANDIKA TETESI.
MODS REKEBISHENI KICHWA CHA HABARI.
CC Active
 
Azam scouting yao ni kwende ku-poach Yanga tu; hawafikirii nje ya uwezo wa Yanga. Hawajiulizi kwa nini wachezaji wakitoka Azam kwenda Yanga wanang'ara sana, ila wakitoka Yanga kuja Azama waanzimika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…