MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Hongera tumu ya Azam kwa kudhamiria kukomesha bahasha na wale wote wanaodhamiria kuvuruga mpira wa Tanzania. Ni matendo yanayopaswa kukemewa na mtanzania yeyote mzalendo na mpenda soka. Azam walistahili ushindi lakini kutokana na ubovu wa muamuzi, ambaye siku zote amekuwa na maamuzi mabovu katika michezo ya Sumba.
(i) Goli la Saadun ambalo muamuzi alisema ni offside wakati ni goli halali kabisa
(ii) Goli la kwanza la Sumba lililofungwa lilikuwa clear offside
(iii)Goli la pili pia lilikuwa clear offside
(iv)Faul aliyocheza Debora ilistahili yellow card
Maamuzi haya mabovu yanashangaza sana na kuibua maswali mengi yanayopelekea kuhoji juu ya ubora wa muamuzi huyu pamoja na wasaidizi wake.